ad

ad

UJUMBE KWA WAKAKA WOTE AMBAO, HAWAJAOA SOMA HAPA


Huyo Msichana unayemsumbua leo na Kumchezea leo kama Mdoli Siku moja atakuja kuwa Mke wa Mtu fulani....Uharibifu unaoufanya kwenye Mwili wake kwa kulazimisha Abortions zisizo na idadi,na uharibifu unaoufanya kwenye moyo wake kwa kumchezea chezea na kumuumiza hisia zake na kumfanya awe na hisia kama za Mnara wa Askari ipo siku Mwanaume mwenzako atakuja kumuoa na kuyarithi yote uliyomfanya huyo mdada. 

Je Unamjua mke wako wa kesho??? Wakati uko bize kumharibu Mke wa mwenzio,Na wewe mke wako wa kesho yuko na jamaa mwingine nae anamharibu sawasawa na uharibifu unaofanya wewe... 

Kabla hujaumiza Mdada wa watu Jiulize Utafurahi ukimkuta Mkeo wa kesho nae amefanyiwa Uharibifu kama unaoufanya kwa huyo mdada leo??? Treat a Woman the way you would Love your Future Woman to be treated huko aliko....Malipo ni hapahapa...Kila Debit Transaction ina corresponding Credit Entry...Double Entry System applies in Love...TAFAKARI...CHUKUA HATUA...HAKI MAPENZI.kwa hisini ya msukuma wa kwanza kuja Dar.
Powered by Blogger.