TAMASHA LA KUPINGA RUSHWA "MIMI NI AFRIKA NA AFRIKA NI MIMI" LAFANA JANA JIJINI ARUSHA
Wasanii wa Kikundi cha ngoma wakitumbuiza wakati wa Tamasha la mimi ni Afrika,Afrika ni mimi
Kikundi cha ngoma kikiendelea kutumbuiza
Mshehereshaji
wa Tamasha la mimi ni Afika,Afrika ni mimi Adam mchomvu akionge na
wakazi wa arusha waliojitokeza kwa wingi kwenye viwnja vya general tyre.
Adam mchomvu akifurahi na wakazi wa arusha
Wakazi wa Arusha wakinyoosha mikono juu kama ishara ya kupinga rushwa.
Msaniii chaba akiwaburudisha wakazi wa Arusha jana
Msanii chaba na back voclist wake wakiendelea kutawala stji jana kwenye viwanja vya general tyre
Nasty Nastyyyy msaniiii chaba akiimbaaaa jukwaaani
Msanii
Joh makini akiwa kwa steji akiwaburudisha wakazi wa Arusha jana kwenye
Tamasha la kupinga Rushwa mimi ni afrika na afrika ni mimi.
Kundi la weusiiiiii wakikamata steji vilivyo jana kwenye viwanja vya general tyre
Sema
beiiii ya mkaaa,bei ya mkaaaa kundi la weusi wakiwaimbisha wakazi wa
arusha jana kwenye Tamasha la kupinga Rushwa la mimi ni afrika na afrika
ni mimi
Dogo janja akiwa kwa steji akiwarusha mashabiki
Kundi la jambo Squadwakirukaaa kingarerooooo na mashabiki wao
Machaliii machaliiiii wa araaaaa hivyo ndio ilikuwa ikisikika wakati jambo squad wakifanya yao jukwaaani.
Msanii stamina akiwa kwa steji akiwarusha mashabiki
Lile
tamasha la kupinga matumizi ya Rushwa na utoaji limefana sana jana
Jijini Arusha kwenye viwanja vya general tyre.Kauli mbiu ya tamasha hilo
ilikuwa "RUSHWA SIO" na kubebwa na ujumbe mzito wa mimi ni afrika na
afrika ni mimi.
Dhumuni
kubwa la tamasha hilo ilikuwa ni kutoa elimu kwa wanainchi juu ya
madhara ya utoaji na upokeaji rushwa,kiingilio ilikuwa ni bure
kabisaaa.Sambamba na elimu iliyotolewa viwanjani hapo pia wakazi wa Jiji
la arusha walipata nafasi ya kupata burudani ya kufa mtu kutoka kwa
wasanii kama izo b,stamina,weusi,chindo man,roma,fid q,linah,naziz na
vanessa mdeee. PICHA NA HABARI KWA HISANI YA DJ SEK BLOG

























Post a Comment