Straika Simba asaini Oljoro
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Shija Mkina, amesaini
mkataba wa mwaka mmoja wakati huu wa usajili wa dirisha dogo kuichezea
JKT Oljoro ya Arusha inayoshiriki Ligi Kuu Bara.
Katibu Mkuu wa Oljoro, Ally Njaidi amesema kuwa lengo ya kumsajili mshambuliaji huyo ni kuiimarisha safu ya ushambuliaji.
“Hadi hivi sasa tumefanikiwa kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Simba, Shija ambaye tumeingia naye mkataba wa mwaka mmoja, kwa ajili ya kukiimarisha kikosi chetu katika mzunguko wa pili.
“Pia kiungo wa zamani wa African Lyon, Jacob naye tumeingia naye mkataba wa mwaka mmoja kama Shija,” alisema Njaidi.

Post a Comment