SAKATA LA RAY SASA MAKUBWA, MAINDA ATUMA UJUMBE KWA JOHARI NI MAKAVU LIVE
Hapo majuzi kupitia mtandao mmoja wa kijamii mwanadada Mainda
aliamua kuvunja ukimya baada ya kuamua kuwachana live ‘wabaya’ waka
Chuchu hans, na Johari kuhusu sakata linaloendelea la wao kumgombania
mwigizaji Vicent kigosi ambaye anadaiwa alikuwa mpenzi wa mrembo huyo.
Bila kupoteza muda soma hapo chini alivyofunguka mwanadada huyu…
"...Hizi salamu zako Johari, ni hivi naomba usinitaje kwenye
huo upumbavu wenu, Huyo mwanaume mnae mzungumzia mimi kwangu namuona
mtu wa kawaida tu ndio maana nikatupa kule. Nadhani umenipata alafu
sitaki kumpandisha mtu jina sawa?.
Ni hivi mimi si mpinzani wako,
nadhani mpinzani wako unamjua mliopiganana (Sakata la Johari na Chuchu
hans kupigana) mkataka kutoana roho kisa shingo ya kuku mlivyokuwa
wajinga na malimbukeni wa mapenzi wanaume hapawiganiwi.
Nimewakalia
kimya naona wewe mwenye kilanga umejitoa kimasomaso ukaenda kiu ukasema
Mainda amebip wewe unataka kumpigia, ni hivi usiniweke kwenye upumbavu
wenu, mimi huyo mwanaume wenu kwangu ni kuku kama kumtafuna nimemtafuna
mpaka mifupa alafu nikatupa kwenye shimo la taka, sasa nyiyni mbwa koko
mlio kosa wafugaji ndio mnaruka ovyo hamjui mle nini, pumbavu kabisa
wewe na mke mwenzio sindio amkauki kunisema me mgonjwa, sasa kama me
mgonjwa huyo bwana wenu ni hivi wewe mwenye shape kama ubao usiejielewa
nakushauri achaha na mimi nenda sinza…..(Itaendelea)
CREDIT: BONGO MOVIE
Post a Comment