PICHA: AZAM TV YAZINDULIWA RASMI SIKU YA JANA
Mmoja wa watoa huduma kwa wateja akiwa tayari kuwahudumia wateja.
Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Yusuf Bakhresa (kushoto) akifungua rasmi
Azam Tv mbele ya Mtendaji Mkuu wa Azam Media Rhys Torrington.
PICHA ZOTE NA 2JIACHIE, DAR
Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Yusuf Bakhresa
Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Yusuf Bakhresa ( KUSHOTO) na wasanii wa Bongo movies.
Wasanii mbalimbali wa Filamu nchini nao walikuwepo kwenye shamrashamra hizo za ufunguzi wa Azam Tv.
Wateja wakipata huduma muda mfupi baada ya ufunguzi.
Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Yusuf Bakhresa akiongea na wana habari siku ya jana.
PICHA ZOTE NA 2JIACHIE, DAR
Post a Comment