Niyonzima: Naondoka Yanga
KIUNGO
mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima, amefunguka kwa kusema kuwa yupo
mbioni kutimka katika timu hiyo iwapo moja ya timu zinazomhitaji hivi
sasa zitakuwa tayari kuingia naye mkataba.
Niyonzima amesaini Yanga kwa mkataba wa miaka miwili ya kuitumikia timu hiyo baada ya kumaliza ile ya awali.
“Kuna timu nyingi zinazonifuatilia lakini bado sijaamua kitu, mimi bado ni mchezaji wa Yanga na nina mkataba na timu yangu hiyo, lakini kama itakuja ikiwa siriazi nitaondoka Yanga.
“Mimi naangalia maslahi yangu mambo mengine nitajua huko mbele ya safari,” alisema Niyonzima raia wa Rwanda.
Niyonzima amesaini Yanga kwa mkataba wa miaka miwili ya kuitumikia timu hiyo baada ya kumaliza ile ya awali.
Haruna Niyonzima.
Akizungumza Niyonzima alisema kuna timu nyingi
hadi sasa zinamfuatilia zikimtaka na kama mambo yakienda kama
anavyofikiria ataondoka.“Kuna timu nyingi zinazonifuatilia lakini bado sijaamua kitu, mimi bado ni mchezaji wa Yanga na nina mkataba na timu yangu hiyo, lakini kama itakuja ikiwa siriazi nitaondoka Yanga.
“Mimi naangalia maslahi yangu mambo mengine nitajua huko mbele ya safari,” alisema Niyonzima raia wa Rwanda.
Post a Comment