YALIYOJIRI KWA PICHA KWENYE TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 JIJINI DAR
Snura majanga akifanya yake jukwaani alitisha sana kwa miuno yakufa mtu na shangwe za hatari mwanzo mpaka mwisho wa show yake snura noumer sanaaa
Wasanii wa muziki wa kizazi
kipya Lina na Amin wakilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta 2013 jijini dar
usiku wa kuamkia leo
Amini akiwa kwa stage na
Barnaba

Recho pamoja na madansa wake wakiwapagawisha mashabiki kwenye Tamasha la
Seregeti Fiesta 2013 lililofanyika kwenye viwanja
vya Leaders Club
Recho akiwa na Mwanadada
Ray C baada ya kupotea muda
mrefu kwenye jukwaa la
Fiesta
Prezidaa
wa Bendi ya Malaika, Christian Bella
akiwapagawisha mashabiki kwenye Serengeti Fiesta 2013 iliyofanyika kwenye
viwanja vya Leaders Club
Snura
'Mamaa Majanga' akionyesha mbwembwe zake
jukwaani.
Shilole akiwapagawisha
mashabiki kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 lillofanyika kwenye viwanja
vya Leader Club

Prezidaa
wa Bendi ya Malaika, Christian Bella
akiwapagawisha mashabiki kwenye Serengeti Fiesta 2013 iliyofanyika kwenye
viwanja vya Leaders Club
Shilole akiwapagawisha
mashabiki kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 lillofanyika kwenye viwanja
vya Leader Club
Umati
mkubwa wa watu ukifuatilia shoo ya Fiesta 2013 iliyofanyika usiku wa kuamkia lea
kwenye viwanja vya Leaders Club
Umati
mkubwa wa watu ukifuatilia shoo ya Fiesta 2013 iliyofanyika usiku wa kuamkia lea
kwenye viwanja vya Leaders Club
Msanii
Hamis Baba 'H-Baba' akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Tamasha la
Serengeti Fiesta 2013 ndani ya Viwanja vya Leaders jijini Dar es
Salaam.
Umati
mkubwa wa watu ukifuatilia shoo ya Fiesta 2013 iliyofanyika usiku wa kuamkia lea
kwenye viwanja vya Leaders Club
PICHA NA AHMAD
MICHUZI

Post a Comment