TCRA YAWAFUA BLOGGERS WA TANZANIA..SOMA HAPA.
Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akifafanua jambo wakati wa Warsha ya
siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa
nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es
Salaam.

Mkurugenzi wa Sekta ya Washangiaji na Watoa Huduma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Dkt. Raynold Mfungahema akiwasilisha
mada wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando
(Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza
B,jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya Wapiga Picha kutoka Vyombo mbali mbali vya habari wakiendelea na zoezi la kuchukua matukio mbali mbali wakati wa Warsha
ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Blogggers) hapa
nchini,iliyoanza rasmi SIKU YA JANA kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es
Salaam.







Baadhi ya Bloggers mbali mbali hapa nchini wakiwa kwenye Warsha
hiyo ya siku mbili iliyoanza rasmi SIKU YA JANA kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza
B,jijini Dar es Salaam.

Post a Comment