AZAM TV YALIPA BILLIONI 6.5 ILI KUONYESHA MECHI ZA LIGI KUU YA TANZANIA BARA.
Televisheni ya Azam inayojulikana kama
Azam TV imeingia mkataba wa miaka mitatu wa kuonesha michuano ya Ligi
Kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ambapo
mkataba huo umetajwa kuwa na thamani ya Tsh bilioni 6.5
Aidha
Televisheni hiyo itakuwa na majukumu ya kuonesha mechi za moja kwa moja
(LIVE) zisizopungua 60 za Ligi hiyo huku nyingine 180 zikiwa
zimerekodiwa.
SOURCE : Global Publishers.
Post a Comment