ad

ad

DAR ES SALAAM YAPATA HESHIMA MJINI HAMBURG.

Pichani kushoto kwangu ni Kaimu Balozi WA Tanzania nchini Ujerumani.
Wiki iliyopita Tanzania ( Dar es Salaam) ilikabidhiwa kiunga ambacho kimepewa heshima na kuitwa Dar es Salaam Platz. Kama uonavyo hapo pichani, hipo katikati ya jiji la Hamburg na Barbara ya Karibu na hapo huitwa Shanghai.
Kumbe sio sisi tu, tunaotoa na kuita Barbara zetu majina mengine.
Powered by Blogger.