VUGURU ZATOKEA MJINI IRINGA, POLISI WATUMIA MABOMU KUREJESHA AMANI.
Hali ikiwa tete eneo hilo.
Abiria na wapiga debe wa stendi kuu Iringa wakinawa maji baada ya kupigwa mabomu na kumwagiwa maji ya kuwasha na askari.
(PICHA ZOTE NA FRANCIS GODWIN, IRINGA)
Post a Comment