ad

ad

USAHIRI WA SHINDANO LA BIBI BOMBA WAFANYIKA JANA LEADERS CLUB.


Majaji wa Shindano la 'Bibi Bomba' kutoka (kushoto) Zamaradi Mketema, Babuu wa Kitaa, Regina Mwalekwa na Benny Kinyaiya, wakifuatilia washiriki wakati wakijieleza kuhusu ufahamu wa shindano hilo, lililoanza leo katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, wakati wa Tamasha la Nyimbo za Makabila 'Tamadunika' linaloendelea hivi sasa viwanjani hapa.

Mmoja kati wa washiriki 32, akijieleza wakati wa mahojiano rasmi viwanjani hapo....

Mmoja kati wa washiriki 32, akijieleza wakati wa mahojiano rasmi viwanjani hapo....

Baadhi ya wanacrew wasimamizi wa shoo hiyo, wakiwa eneo la tukio

Babu wa Kitaa, (kushoto) akiburudika kwa miondoko ya sebene na mmoja wa washiriki wa shindano hilo.

Sehemu ya washiriki waliojitokeza kushiriki shidano hilo.Credit kwa Sufianimafoto
Powered by Blogger.