ad

ad

QUEES SUZY KUUKACHA UNENGUAJI




Stori: Mwaija Salum
MNENGUAJI mahiri wa Bendi ya FM Academia, Suzan Chubwa ‘Queen Suzy’ amefunguka kuwa yuko mbioni kuachana na kazi ya unenguaji na kujikita zaidi kwenye utunzi na uimbaji wa muziki.
Akistorisha na Risasi Vibes, Queen Suzy alisema kwa sasa anataka kuwaachiwa chipukizi wanengue wakati yeye akikamata kipaza sauti baada ya kunengua kwa miaka mingi.
“Sasa nataka kubadili upepo, nimenengua kwa zaidi ya miaka 12 kwa hiyo napaswa kupumzika na nimeanza kuimba na tayari nimesharekodi baadhi ya nyimbo zangu,’’ alisema Queen Suzy.
Powered by Blogger.