ad

ad

KUTOKA ARUSHA:SIKU YA AFYA YA FIGO DUNIANI: WATANZANIA WAASWA KUPIMA AFYA ZAO ILI KUEPUKA USUGU UGONJWA WA FIGO

Watanzania wametakiwa kujenga tabia ya kuvitumia vituo vya afya kupima afya ya figo mara kwa mara na kupata ushauri na tiba mapema pindi wanapogundulika kuwa na matatatizo ya figo ili kuepuka kusababisha  usugu wa ugonjwa huo.
TASWILA ZA PICHA ZA SIKU YA FIGO DUNIANI KUTOKA ARUSHA LEO HII NA SIKU YA JANA-LEO NDO SIKU YA FIGO DUNIANI 14/03/2013
PICHA ZOTE NA WANA 2JIACHIE ARUSHA
 Wananchi wa Arusha na sehemu mbalimbali walipewa semina kukabiliana na magonjwa juu ya figo na kuzingatia chakula bora muda wote na kucheki afya zao kwa wakati.
PICHA ZOTE NA WANA 2JIACHIE ARUSHA

Powered by Blogger.