ad

ad

Jipe muda,Tafakari,Mfahamu mtu kwanza ndipo uanze naye uhusiano

Vijana wengi wamejikuta katika mahusiano na hata ndoa na watu wasiowataka wala kuwapenda kwa sababu hawakujipa muda wa kuheal baada ya mahusiano ya mwanzo kuvunjika.
Usiingie kwenye mahusiano na mtu mwingine kabla hujapona jeraha la kuvunja mahusiano. Pale utakapopona na kugundua kuwa haupo na mtu sahihi inaweza kuwa too late kurudi nyuma.
 Usianzishe mahusiano wala ndoa ili kumuonyesha mtu fulani kuwa umeshamsahau na umepata zaidi yake, itakuja kula kwako…
Jipe muda, Tafakari, Mfahamu mtu kwanza ndipo uanze naye uhusiano....
Powered by Blogger.