ad

ad

HIVI NDIVYO WASTARA ALIVYOAGWA KATIKA SAFARI YAKE YA KUELEKEA OMAN


Habari na saluti 5 - www.saluti5.com
WASTARA Juma amabaye ni mke wa marehemu Juma Kilowoko “Sajuki” Jumpili jioni alisindikizwa na ndugu na jamaa katika uwanja wa ndege wa Kimataita wa Mwalimu Nyerere katika safari yake ya kuelekea Oman.
Wastara ambaye amekwenda Oman kwaajili ya mapumziko ya miezi miwili ikiwa ni pamoja na kumaliza eda ya mumewe alipelekea huzuni nyingi kwa watu waliomsindikiza kuanzia nyumbani hadi Airpot.
Zifuatazo ni picha mbali zilizopigwa nyumbani, barabarani na uwanja wa ndege zikimuonyesha Wastara katika pilika za safari hiyo.

PICHA ZA PAMOJA NYUMBANI

MIZIGO INAINGIZWA KWENYE GARI

SAFARI YA AIRPORT INAANZA

MWALIMU NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT

NI WAKATI WA KUAGANA
 
Powered by Blogger.