ad

ad

Breaking News:Mbunge wa Chambani Salim Hemed Khamis,amefariki dunia muda mfupi uliopita.



Breaking News:Mbunge wa Chambani Salim Hemed Khamis,amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili .Taratibu za kuusafirisha mwili kuelekea Pemba kwa mazishi zinafanyika.
Powered by Blogger.