ad

ad

LAMPARD ATAKATA CHELSEA IKIUA 4-0 FA CUP



CUP RECORD ... Frank Lampard celebrates with team-mates after scoring their third
FRANK LAMPARD amefunga bao lake la 199 kwa Chelsea pale timu yake ilipofanya maangamizi ya 4-0 kwa Brentford katika mchezo wa raundi ya nne ya FA Cup.
Kiungo huyo wa England ambaye mkataba wake unaisha majira ya kiangazi, sasa anakaribia kuvunja rekodi ya Bobby Tambling anayeongoza kwa kufunga magoli mengi zaidi Chelsea, magoli 202.
RECORDS TAMBLING ... Frank Lampard becomes Chelsea's leading FA Cup scorer
Lampard akifunga bao la tatu
Hata hivyo Lampard, 34 kwa kufunga leo anakuwa amefikisha magoli 26 katika kombe la FA idadi ambayo haifikiwi na mchezaji mwingine yeyote yule wa Chelsea ndani ya michuano hiyo.
Lampard alifunga dakika ya 71 wakati huo Chelsea tayari ikiwa mbele kwa mabao mawili ya Juan Mata na Oscar. Bao la nne lilifungwa na nahodha John Terry katika dakika ya 81.
BANG ... Juan Mata breaks the deadlock
Juan Mata akipiga bao la kwanza
IN THE FLICK OF TIME ... Oscar puts Chelsea 2-0 up
Ocsar akitupia bao la pili
YOSS HE CAN ... John Terry is congratulated by team-mate Benayoun
John Terry akishangilia bao lake
Chelsea sasa itaumana na Middlesbrough katika mzunguko wa tano.
Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Cole, Luiz, Lampard (Bertrand 80), Oscar, Mata (Benayoun 76), Moses (Hazard 65), Ba
Goals: Mata 54, Oscar 68, Lampard 71, Terry 81
Brentford: Moore, Logan, Craig, Dean, Bidwell, Adeyemi, Diagouraga (Reeves 73), Douglas, Forshaw (Saunders 78) Donaldson, Trotta (Forrester 56).
Powered by Blogger.