ad

ad

MANCHESTER CITY 4-0 LEEDS FA CUP



TWO GOOD ... Aguero celebrates his second goal
MANCHESTER CITY imeimarika kutoka kwenye kipigo cha Southampton na kupenya raundi ya sita ya kombe la FA baada ya kuifumua Leeds 4-0.
Ushindi huo umeweka hai matumaini ya City kumaliza msimu ikiwa na taji mkononi.
City ilichapwa na Southampton 3-1 katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza na kujikuta inaachwa nyums kwa pointi 12 na watani wao Manchester United.
MISS ME? ... Toure shows City fans what they've been missing with the opening goal
Yaya Toure alifunga goli la mapema likiwa ni bao lake la kwanza baada ya kurejea kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika kabla ya Sergio Aguero hajafunga bao la pili kwa njia ya penalti.
THREESY DOES IT ... Tevez celebrates scoring the third
Kipindi cha pili Aguero na Teves wakaipatia City magoli mengine mawili yaliyohitimisha ushindi wa 4-0.
Powered by Blogger.