ad

ad

Fundi wa Shirika la Umeme Tanesco mkoani Iringa, Selemani Mbuma anaswa na umeme

Fundi wa Shirika la Umeme Tanesco mkoani Iringa, Selemani Mbuma akiwa amenaswa na umeme baada ya wenzake kuwasha umeme kimakosa wakati akiendelea na matengenezo katika eneo la Mlandege mkoani humo.
Je, nini maoni yako kuhusu tukio hili?
CHANZO JAMII FORUM
Powered by Blogger.