ad

ad

MBAVU ZANGU:CHEKA KIDOGO NA 2JIACHIE

Wezi wa Mifugo waliiba ng,ombe kwa Mmasai kisha wakamfunga Mmaasai Uchi kwenye Mti ucku kucha Asubuhi Majirani wakaja,
Majirani:    Masai pole sana kwa matatizo 
Masai:       sante 
Majirani:   wamechukua  mifugo yoote dah! pole sana 
Masai:      tatiso sio kuchukua ngombe yote. bado ni bora 
Majirani:  aaaah! kumbe tatizo nini  jirani kama ng'ombe sio tatizo.
Masai:      Sisikitikii Ngombe Yangu kuibiwa bali huyu Ndama waliemuacha alikuja kuninyonya .......... yangu usiku kucha akidhani ni ziwa ya Mama yake hapa nipo hoi, sijui itaambia nini mama yoyoo ikisema nataka Maana itaniuliza ngombe imeibiwa na hii kazi ingine umefanya wapi??????????    ooooh laitoriany.

Majirani:   kwi  kwi  kwi  kwi    duh hii kali (  ooooh  laitoriany kimasai, maana yake  oooo mungu wangu.

Powered by Blogger.