ad

ad

ENGLISH PREMIER LEAGUE: STOKE 0 vs CHELSEA 4, QPR 0 vs TOTTENHAM SPURS 0, SUNDERLAND 3 vs WEST HAM 0, READING 3 vs WEST BROM 2


STOKE 0 vs CHELSEA 4
Bao mbili za kujifunga wenyewe na Penati ya Frank Lampard ziliwapa Chelsea ushindi wa Bao 4-0 Uwanjani Britannia dhidi ya Stoke City huku Bao lao la nne likifungwa kwa utamu sana na Eden Hazard.
Mchezaji alieweka historia ya kujifunga mwenyewe mara mbili katika Mechi moja ya Ligi Kuu England ni Jon Walters ambaye pia alikosa kufunga Penati waliyopewa Stoke City baada ya yeye mwenyewe kufanyiwa Rafu na John Terry na kuona shuti lake la Penati likiota mbawa.
Kufuatia ushindi huo Chelsea sasa imevunja rekodi ya Stoke City ya kutoshindwa katika mechi yoyote katika uwanja wao wa nyumbani.
Kabla ya mechi hiyo Stoke ilikuwa imecheza mechi 17 katika uwanja wao bila kupoteza hata moja.
Walters aliifungia Chelsea bao la kwanza kwa kichwa baada ya Cesar Azpilicueta kupiga cross, na wakati alipokuwa akijaribu kuiondoa, kwa bahati mbaya likaingia ndani ya lango lao.
Dakika ya 45 kipindi cha kwanza Walters alifanya kosa kama hilo hilo na kufunga kwa mara nyingine kwa kichwa cross iliyopigwa na Juan Mata corner.
Frank Lampard naye akaifungia Chelsea bao la tatu kupitia kwa mkwaju wa penalti kabla ya Eden Hazard kufunga la nne kwa kombora alioupiga kwa zaidi ya mita 30 kutoka kwa goli.
Na kipindi hicho cha pili Stoke walipata penalti baada ya John Terry kumfanyia madhambi mchezaji wake lakini mkwaju wa
Walters uligonga mlingoti.
Complaint: Tony Pulis confronts the referee at half-time
Complaint: Tony Pulis confronts the referee at half-time
Magical: Eden Hazard is congratulated by his team-mates after a stunning solo goal
Eden Hazard akipongezwa baada ya kufunga goli kipindi cha pili dakika ya 73

Bango la maelezo kwa Rafa lililotupwa na kuokotwa na mashabiki wa Stoke na kuingia nalo uwanjani.
Lampard akishangilia baada ya kufunga penati dakika ya 65.
John Terry amecheza leo na hapa akipishwa na Mata dakika ya 79
VIKOSI:
Stoke: Begovic, Cameron, Shawcross, Huth, Wilkinson, Walters, Whelan, Nzonzi, Etherington (Kightly 86), Adam (Whitehead 79), Jones (Jerome 78).
Subs not used: Sorensen, Upson, Crouch, Shotton.
Booked: Wilkinson.
Chelsea: Cech, Azpilicueta (Ferreira 83), Ivanovic, Luiz, Cole, Hazard, Lampard, Ramires, Bertrand, Mata (Terry 79), Ba (Torres 71).
Subs not used: Turnbull, Oscar, Marin, Ake.
Goals: Walters o.g 45, 62 Lampard 65 pen, Hazard 73.
Ref: Andre Marriner
Att: 27,348.




NORWICH 0 vs NEWCASTLE 0
Backing up: Jonas Gutirrez holds off Russell Martin at Carrow Road
Jonas Gutirrez akichuana na Russell Martin uwanjani Carrow Road
Watchful: Coloccini follows Simeon Jackson run
Coloccini akimfatilia Simeon Jackson kwa nyuma.
Going to ground: Coloccini and Snodgrass hit the deck after a full-blooded tackle
Coloccini akimtega Snodgrass na kuanguka.
Stopping the rot: Alan Pardew's side halted a run of three straight defeats
Alan Pardew akifatilia mtanange na huku akijionea kukosa pointi 3 muhimu na kuambulia droo.
VIKOSI:
Norwich: Bunn, Martin, Bassong, Turner, Garrido, Pilkington, Johnson, Tettey, Snodgrass, Hoolahan, Jackson
Akiba: Rudd, Holt, Fox, Elliott Bennett, Barnett, Ryan Bennett, Kane.
Newcastle: Krul, Debuchy, Williamson, Coloccini, Santon, Perch, Anita, Obertan, Marveaux, Gutierrez, Cisse
Akiba: Harper, Cabaye, Amalfitano, Bigirimana, Sammy Ameobi, Ranger, Tavernier.
Refa: Anthony Taylor

Di DANTO AISAWAZISHIA NA KUIOKOA TIMU YAKE KIPINDI CHA PILI
FULHAM 1 vs WIGAN 1
Bao la kwanza kwa Franco Di Santo katika Ligi Kuu England katika Miezi mitatu leo limewapa sare ya ugenini ya Bao 1-1 walipocheza na Fulham ambao ndio walitangulia kufunga kwa kigongo cha Giorgos Karagounis cha Mita 25.

Karagounis akimimina shuti kali
Nyavu zikitingishwa mapema dakika ya 22 ya mchezo Dakika ya 71 Di Santo akaisawazishia Wigan
Di Santo akishangilia baada ya kusawazisha na kufanya 1-1

Berbatov akikabwa leo hii.
Martinez anatanguliwa pointi 6 na Fulham kwa droo waliyoipata leo.
VIKOSI:
Fulham: Schwarzer, Riether, Hangeland, Hughes, Richardson, Duff (Baird 82), Karagounis, Ruiz, Kacaniklic (Dejagah 87), Berbatov, Petric (Rodallega 65).
Subs Not Used: Stockdale, Riise, Senderos, Kasami.
Goals: Karagounis 22.
Wigan: Al Habsi, Figueroa, Caldwell, Ramis (Stam 90), Beausejour, McArthur, Jones (Gomez 65), Boyce, McCarthy, Maloney, Di Santo.
Subs Not Used: Pollitt, Henriquez, McManaman, Boselli, Golobart.
Booked: McArthur.
Goals: Di Santo 71.
Att: 25,442
Ref: Mark Clattenburg




SUNDERLAND 3 vs WEST HAM 0
Wakicheza kwa kuonana sana, Sunderland wakiwa kwao Stadium of Light waliitandika West Ham Mabao 3-0.

Larsson akifunga goli dakika la kwanza dakika ya 12
Adam Johnson (kulia) akifunga goli la 2 dakika ya 47
James McClean akitingisha nyavu kuifungia timu yake goli dakika ya 74 na kufanya 3-0
Kocha Sam Allardyce akijionea mwenyewe...

Johnson (kushoto) akipongezana kwa ushindi huo wa 3-0 uwanjani Stadium of Light dhidi ya West Ham
VIKOSI:
Sunderland: Mignolet, Gardner, O'Shea, Bramble, Colback, Johnson, Vaughan, Larsson, McClean, Fletcher, Sessegnon
Akiba: Westwood, Bardsley, N'Diaye, Campbell, Wickham, McFadden, Kilgallon.
West Ham: Jaaskelainen, Demel, Collins, Reid, Potts, Collison, Diarra, Joe Cole, Nolan, Jarvis, Carlton Cole
Akiba: Spiegel, Tomkins, Vaz Te, Taylor, Diame, Chamakh, O'Neil.
Refa: Neil Swarbrick






QUEENS PARK RENGERS 0 vs TOTTENHAM 0
QPR leo walingangamara na kuweza kutoka sare ya 0-0 na Tottenham na hii ikiwa ni Mechi ya kwanza kwa Meneja wa QPR, Harry Redknapp, kukutana na Timu yake ya zamani Tottenham tangu atimuliwe huko mwanzoni mwa Msimu huu.
Shujaa wa QPR alikuwa Kipa wao kutoka Brazil Julio Cesar aliekoa Bao kutoka kwa Jermain Defoe na pia kuokoa tena mpira huo ulipomrudia Emmanuel Adebayor.

Harry Redknapp akisalimiana na Andre Villas-Boas kabla ya mtanange Loftus Road leo

Mashabiki wa Tottenham wakionesha bango la kumuenzi kocha wao wa zamani Harry
kipa Julio Cesar akipangulia nje mpira uliopingwa.

akidaka kwa makini
Kocha wa England Roy Hodgson akiangalia mtanange huo ambao umetoka sale ya 0-0 Adel Taarabt (katikati) akijaribu kuwatoka wachezaji wa Spurs.
VIKOSI:
QPR: Julio Cesar, Onuoha, Hill, Nelsen, Da Silva, Mbia, Park, Derry, Wright-Phillips, Taarabt, Mackie
Akiba: Green, Ferdinand, Cisse, Ben Haim, Faurlin, Bothroyd, Campbell.
Tottenham: Lloris, Walker, Dawson, Vertonghen, Naughton, Lennon, Dembele, Sandro, Bale, Adebayor, Defoe
Akiba: Friedel, Dempsey, Huddlestone, Parker, Sigurdsson, Assou-Ekotto, Caulker.
Refa: Lee Probert


BARCLAYS PREMIER LEAGUE
MATOKEO
Jumamosi 12 Januari 2013
[SAA 12 Jioni]
Aston Villa 0 v Southampton
1
Everton 0 v Swansea 0
Fulham 1 v Wigan 1
Norwich 0 v Newcastle 0
Reading 3 v West Brom 2
Stoke 0 v Chelsea 4
Sunderland 3 v West Ham 0


RATIBA JUMAPILI YA LEO
Jumapili 13 Januari 2013
[SAA 10 na Nusu Jioni]
Man United v Liverpool
[SAA 1 Usiku]
Arsenal v Man City


RATIBA
Jumatano Januari 16
[SAA 4 DAK 45 Usiku]
Chelsea v Southampton

Jumamosi Januari 19
[SAA 12 Jioni]
Liverpool v Norwich
Man City v Fulham
Newcastle v Reading
Swansea v Stoke
West Ham v QPR
Wigan v Sunderland
[SAA 2 na Nusu Usiku]
West Brom v Aston Villa

Jumapili Januari 20
[SAA 10 na Nusu Jioni]
Chelsea v Arsenal
[SAA 1 Usiku]
Tottenham v Man United
Powered by Blogger.