Wydad AC Washinda Nairobi United 1-0 Katika CAFCC
Katika mchezo mkali wa Kundi B wa Kombe la Shirikisho la Afrika (CAFCC), Wydad AC wameibuka na ushindi nyumbani kwa Nairobi United, baada ya kufunga bao 1-0.
Mchezo huo ulidumu dakika zote kwa presha kubwa, lakini Wydad AC walionekana wenye umoja zaidi katika mashambulizi yao, jambo lililowawezesha kuondoka na pointi tatu muhimu ugenini. Nairobi United walijitahidi, lakini walishindwa kufungua bao.


Post a Comment