Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
amewasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Bole, Jijini Addis
Ababa Ethiopia, tarehe 12 Februari, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano
wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokelewa na Waziri wa Kazi na Ukuzaji wa Ujuzi wa Ethiopia Mheshimiwa Muferihat Kamil Ahmed.
Post a Comment