ad

ad

Diamond Platnumz - Natulizana (Official Music Video)

 

Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake wa mapenzi “Natulizana”, ikibeba ujumbe wa amani, ukomavu wa hisia, na kuepuka drama zisizo za lazima.

No comments

Powered by Blogger.