RAIS MAGUFULI AONGOZA MAELFU YA WATU MAZIKO YA MWANASIASA MKONGWE MAREHEMU MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa
kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge Ngombale
Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisali mara baada ya kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
mchanga kwenye Kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika
Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa
awamu ya Tatu Benjamini Wiliam Mkapa pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya
nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuweka udogo kwenye kaburi
la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni
jijini Dar es Salaam.
Wajukuu wa marehemu pamoja na wafiwa wengine wakiwa katika hali ya majonzi makaburini hapo.
Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamini Wiliam Mkapa akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais
Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamini Wiliam Mkapa pamoja na Rais Mstaafu
wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuweka udogo
kwenye kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi
ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

akiagana na waombolezaji mara baada ya maziko ya marehemu Mzee Kingunge
Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. PICHA
NA IKULU
Post a Comment