ad

ad

MABAO YA SIMBA vs RUVU Shooting Bao 3-0, Bocco na Mzamiru Watupa (Video)


Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco ambaye amefungaagoli mawili dakika ya 22 na 75, Mzamiru Yassin alifunga goli moja dakika ya 66. Mchezo kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Simba umemalizika na kuishuhudia simba ikiiadhibu Ruvu Shooting kwa magoli 3-0 na kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi.

No comments

Powered by Blogger.