ad

ad

Video: YANGA Wazomewa Bandarini Kisa Kutolewa Mapinduzi Cup na URA

BAADA ya jana Klabu ya Yanga kuondoshwa kwenye Michuano ya Mapinduzi Cup na Klabu ya URA ya Uganda katika nusu fainali ya kwanza, wachezaji na viongozi wa klabu hiyo wamewasili Dar es Salaam jana kutoka Mjinni Unguja visiwani Zanzibar huku wakiwa na sura za huzuni. 

Yanga abayo ilicheza chezo wa Nusu Fainali na URA huku ikiondolewa kwa njia ya mikwaju ya penati 5-4, baada ya nyota wao raia wa Zambia, Obrey Chirwa kukosa penati ya mwisho na kuwafanya waungane na wapinzani wao Simba SC, ambao nao waliondolewa juzi Jumatatu na Azam FC, baada ya kuchapwa bao 1-0. https://www.youtube.com/c/KidaniStars 

VIDEO HII HAPA WAKIZOMEWA NA MASHABIKI

No comments

Powered by Blogger.