Tazama Shoo Ya Kwanza Ya Papii Kocha Tangu Awe Huru .. Atoa Shukrani Kwa Rais Magufuli (Video)
Mwanamuziki wa dansi Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza
‘Papii Kocha’ baada ya kwenda Ikulu kutoa shukurani zao kwa Rais
Magufuli Papii Kocha kaanza kutoa burudani kwenye kumbi za harusi hivi
karibuni.
Post a Comment