Snura: Ntaliza Watu Bethdei Yangu
MWANAMUZIKI nyota na mahiri kwa kukata viuno jukwaani, Snura Mushi
amesema atawaliza watu watakaojitokeza katika sherehe ya siku yake ya
kuzaliwa ambayo itafanyika mapema mwezi huu.
Snura aliiambia Za Motomoto News kuwa siku hiyo atawaimbia wimbo ambao utawaliza wote watakaoshiriki sherehe hiyo kwani wimbo huo una maneno ya kuhuzunisha ndani yake.
“Lazima kila atakayehudhuria bethdei yangu atoe chozi sababu nitawaimbia wimbo ambao una maneno ya kuhuzunisha na nitakuwa nauimba kwa mara ya kwanza kabisa kabla sijaurekodi na kuutoa.

Post a Comment