Snura Adaiwa Kuchukua Bwana wa Msanii Mwenzake Nisha!
Snura Mushi.
MSANII wa filamu Bongo, Snura Mushi amefungukia uvumi wa kumkwapua bwana aliyekuwa anatoka na msanii mwenzake, Salma Jabu Nisha aitwaye Minu na kusema kuwa, jamaa
huyo ni mtu wake wa karibu tu siyo kimapenzi.
Salma Jabu Nisha![]() |
| Snura akiwa kalala kwenye mto. |
“Huyo Minu siyo mpenzi wangu na wala sina muda mrefu tangu nijuane naye, kuna siku alinitafuta baada ya kupewa namba yangu na Nisha, sababu alikuwa ameandika wimbo ambao aliona nafaa kuuimba, sasa kumtakia heri ya kuzaliwa kwa kumwambia nampenda ndiyo kosa?”alihoji msanii huyo


Post a Comment