ad

ad

Zari The Bosslady alimshangaa Diamond Platnumz kutotumia condom kwa Hamisa aliyemuita 'low life'





Mipasho! Mwanamitindo mjasiriamali, Zarinah Hassan ‘Zari The BossyLady’ ambaye aliingia katika mtafaruku wa maisha yake ya kimapenzi na mpenzi wake aliyezaa naye watoto wawili Diamond Platnumz, kwa mara nyingine juzikati amefunguka akiongea na kituo cha redio nchini Uganda kuwa alimshangaa mzazi mwenzie huyo kutotumia Kondom alipokuwa akikutana na Hamisa Mobeto mpaka kuzaa naye mtoto.

Pia amefunguka kuwa alimshangaa kumleta Hamisa Mobeto kwenye kitanda chake ambapo alikitumia kulala nae usiku mnene na kumkimbiza kabla ya watu kuamka.

Zari akamalizia kuwa atamkataza kwenda kumuona mtoto wake kwa Hamisa Mobeto kwa kuwa motto huyo anataka kumuona baba yake.

No comments

Powered by Blogger.