ad

ad

Worst Betrayal Of All Time - Zari On Celeb Select [16th Dec 2017]

Mipasho! Mwanamitindo mjasiriamali, Zarinah Hassan ‘Zari The BossyLady’ ambaye aliingia katika mtafaruku wa maisha yake ya kimapenzi na mpenzi wake aliyezaa naye watoto wawili Diamond Platnumz, kwa mara nyingine juzikati amefunguka akiongea na kituo cha redio nchini Uganda kuwa alimshangaa mzazi mwenzie huyo kutotumia Kondom alipokuwa akikutana na Hamisa Mobeto mpaka kuzaa naye mtoto.

No comments

Powered by Blogger.