Uwoya Amponza Shamsa...Kisa Kumsifia Uzuri Wake
Uwoya.
Shamsa.
“Ninawashangaa sana, mtu ukizungumza ukweli ni shida maana watu wananipigia simu mfululizo wakati jambo lenyewe liko wazi kabisa na ninasisitiza, hakuna mwanamke mzuri Bongo Movies kama Uwoya. Kwa nini hawataki kumpa mtu sifa zake jamani?” alihoji Shamsa.
Post a Comment