KATUNI YA SIKU: CHEKA UONGEZE AFYA
Kama wewe ni mpenzi wa katuni Mambo Karudi anakukaribisha kutembelea blog yake hapa mambokarudi mwanzo mwisho ni kucheka tu!
SIKU NYINGINE ANGALIA VIZURI BWANA..!
JUMA: Aisee mcharo mkeo yuko tabata Guest House na rafiki yako, kimbia upesi uwawahi…..Haraka
sana mcharo kaacha shughuli zote na kukimbilia gesti. Dakika kumi baadae akarudi
na hasira;
MCHARO: Hivi
we Juma mbona muongo hivi, yule jamaa wala sio rafiki yangu, nimeumbuka
kumsumbua mtu wa watu bure shauri yako wewe. Siku nyingine angalia vizuri bwana..!
Post a Comment