ad

ad

TIMU YA SOKA HUKO HISPANIA YASHINDA KWA MABAO 47-0 KATIKA LIGI


Wakati kaka zao wakionekana wameshindwa na watateremka kutoka La Liga, kikosi cha timu B cha La Palmas kimeshinda kwa mabao 47-0 dhidi ya Las Coloradas.

Timu hizo kutoka katika visiwa vya Canarian nchini Hispania vilikuwa vikishiriki Ligi Kuu ya soka ya Vijana nchini Hispania.

La Palmas ikaibuka na ushindi wa mabao 47 na kuzua gumzo kubwa miongoni mea wapenda soka.


Inaonekana wadau wanaonekana kukerwa na hali hiyo au kutofurahishwa na timu kuwa dhaifu kupita kiasi jambo ambalo wanaona si sahihi.

No comments

Powered by Blogger.