ad

ad

Simba Yapangwa Kuanza Na Timu Ya Djibouti Kombe La Shirikisho


Simba imepangwa kuanza katika raundi ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wawakilishi wa Djibouti, Gendarmerie Tnale.
Ikifanikiwa kuitoa Gendarmerie ya Djibouti, Simba itakutana na mshindi kati ya Al-Masry ya Misri dhidi ya Green Buffaloes ya Zambia.
Upande mwingine timu ya Zimamoto ya Zanzibar nayo imepangwa kucheza dhidi ya Welayta Dicha ya Ethiopia.

No comments

Powered by Blogger.