ad

ad

Pesa ni M-Pesa, Lipa Kwa M-Pesa Pata Zawadi Za Papo Hapo


Katika kusherehekea msimu huu wa Sikukuu, kampuni ya mawasiliano nchini Vodacom Tanzania imewaletea wateja wake na Watanzania kwa ujumla kampeni inayokwenda kwa jina la PESA NI M-PESA.
Kupitia kampeni hii wateja watapata zawadi za papo hapo wanapofanya malipo ya huduma au bidhaa kupitia M-Pesa.
Malipo kwa njia ya M-Pesa ni salama na rahisi. Unaweza kulipa kutoka mitandao yote na benki ujipatie zawadi za papo hapo.
Kila mtu ni mshindi na M-Pesa. Hakuna makato unapolipa kwa wafanyabiashara waliosajiliwa. Piga *150*00# au tumia M-Pesa App kulipa.

No comments

Powered by Blogger.