ad

ad

Jahazi Modern Taarab Wafanya Yao Usiku wa 900 Itapendeza! (Video)

“Hii ni burudani ya aina yake jamani tumeiona hii sikukuu ya Uhuru kuwa tamu kweli kwetu hawa jamaa wa Dar live wametufurahisha sana jana,” alisema shabiki mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Hamisi Mkunje.

No comments

Powered by Blogger.