Riyama Anakomaa Na Maisha Yake
Riyama Ally.
Riyama aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, kila kukicha anafikiria afanye nini ili aweze kupambana na maisha ya sasa hivi, ukizingatia ana mtoto anayehitaji malezi na elimu bora.
“Sasa hivi mimi ninapambana na kukomaa na maisha yangu. Sina muda wa kuangaika na maisha ya mtu mwingine wala kuyajua yasiyonihusu,” alisema Riyama
Credit: Ijumaa Wikienda

Post a Comment