ad

ad

Mwigulu Nchemba Amehitimu Shahada ya Uzamivu (PHD) Udsm

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba akiwa amepozi baada ya kumaliza hafla ya utoaji shahada hiyo Waziri Nchemba akiwa katika picha ya pamoja na mtoto. Waziri Nchemba akiteta jambo na wahitimu wenzake.Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba leo amehitimu Shahada ya Uzamivu (PHD) ya Uchumi kwenye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) ambapo mahafali hayo yalifanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar. Mahafali hayo yalihudhuriwa na  mkuu wa chuo hicho ambaye ni rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete.

No comments

Powered by Blogger.