Ester, Aunt Ezekiel Wamaliza Bifu Lao la muda mrefu
![]() |
| Aunt Ezekiel na Ester Kiama (kulia) wakiwa pamoja. |
Chanzo makini kililieleza Risasi Jumamosi kuwa mastaa hao kwa sasa ushosti wao umerudi kama zamani na wamemaliza bifu lao ambalo limedumu kwa muda mrefu tangu mwaka jana licha ya kwamba hawajawahi kusema chanzo ni nini ila habari zinadai kwamba ni maneno ya uchonganishi baina yao.
Ester KiamaAlipoulizwa Ester alikiri kwamba ni kweli wamepatana, waliamua wao wenyewe kumaliza tofauti zao na siku nyingi tu urafiki umerudi kama kawa.

Post a Comment