Hatimaye Zamaradi Mketema wa Clouds Aolewa!
Mtangazaji wa Kipindi cha Take One kinachorushwa na Kituo cha
Televisheni cha Clouds, Zamaradi Mketema amefunga ndoa na mwanaume
anayetajwa kuwa mtoto wa kigogo mmoja mkubwa wa serikali.
Picha za wawili hao wakifunga ndoa, zilipoanza kuzagaa mitandaoni, zilizua gumzo kubwa ambapo baadhi ya watu walidai kuwa si picha za ndoa bali ni filamu huku wengine wakidai kwamba ni ndoa halisi.
Habari zaidi kuhusu ndoa hiyo, endelea kutembelea mtandao huu na kusoma magazetila Global Publishers.

Post a Comment