Esha Buhet Sasa Kuzaa Dabodabo Sana
MSANII anayefanya vizuri katika anga la filamu Tanzania, Esha Buhet,
baada ya kujaaliwa kupata mtoto wa pili aliyemsubiri kwa miaka mingi,
sasa atazaa dabodabo kwani anaamini Mwenyezi Mungu amemfungulia njia.
Akizungumza juzikati, Esha alisema alipata faraja kubwa mwaka huu baada ya kupata mtoto kitu kilichoisimamisha upya ndoa yake, hivyo kuanzia sasa hakuna kujibana, kwani mwanaye akifikisha miezi kadhaa tu, atabeba tena ujauzito.
“Sasa hivi kwa sababu Mungu, amenifungulia njia basi ngoja niendeleza kwa sababu nimepata tabu sana kupata mtoto mwingine kwa kweli, hivyo mtoto wangu akisogea kidogo tu nafanya mambo,” alisema Esha.

Post a Comment