Irene Uwoya: Uzuri Wangu Wakati Mwingine Najifananisha na Jini
Irene Uwoya.
Akizungumza Uwoya, alisema kuwa anamshukuru mama yake kwa kumpa uzuri alionao kwani kila kukicha sura yake haipotezi mvuto kama mastaa wengine.
“Kwa kweli najivunia uzuri wangu na sifa kubwa zinaenda kwa mama yangu kwa kunipa uzuri huu pia kitu kikubwa unapokuwa staa lazima uendane na kazi ambayo unaifanya kama mimi nilivyo maana kuna wakati najifananisha na jini” alisema Uwoya.
STORI: IMELDA MTEMA
Post a Comment