Gigy Money Aumbuka ‘Kufeki’ Gharama Za Mavazi
MUUZA nyago matata ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford
‘Gigy Money’ ameumbuka baada ya kufanya mahojiano na runinga moja
akisema kuwa, mavazi aliyovaa yalimgharimu shilingi milioni moja na laki
tano kisha wajuzi wa mambo wakamuumbua.

Akizungumza juu ya ishu hiyo ambayo ilizua mjadala mzito, mmoja wa vyanzo makini alisema kuwa, hata viatu alivyovaa alidai kuwa vya shilingi laki mbili lakini ukweli ni kwamba vinauzwa shilingi elfu thelathini.
Kwa upande wake Gigy aliliambia gazeti hili kuwa, anawashangaa wanaojadili suala hilo kwa sababu yeye ndiye anayejua ukweli.
“Mimi ndiye mnunuzi, watu wanapaswa kukumbuka tu kila kitu kina bei tofauti kutokana na muuzaji na sehemu kinapouzwa,” alisema Gigy.

Post a Comment