ad

ad

Arusha: Nyumba za Kota za polisi zawaka moto mkubwa

Arusha, nyumba za line polisi, zinawaka mda huu, chanzo bado hakijajulikana.
Moto huo bado unasambaa kwa kasi ya ajabu.
DKviVjlX0AIeaZf.jpg DKviXeOWAAEAR5T.jpg DKviZ39XkAEE5Fo.jpg
Taarifa mbaya zinaeleza kwamba nyumba (Kota) za askari wa Central polisi-Arusha zinateketea kwa moto usiku huu na kazi ya kuuzima inaendelea. RPC Arusha C. Mkumbo amesema chanzo bado hakijajulikana.

No comments

Powered by Blogger.