Rais Magufuli, Kagame na Museven Wampongeza Uhuru Kenyatta Kwa Ushindi
Rais John Magufuli.
Rais wa Tanzania John Magufuli amempongeza Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kufuatia ushindi wake katika uchaguzi wa urais uliofanyika Jumanne. Bw Kenyatta alitangazwa mshindi Jumanne. Amemtakia Kenyatta: "Mafanikio mema". Marais Paul Kagame (Rwanda) na Yoweri Museveni (Uganda) pia wamempongeza Rais Kenyatta.
Nakupongeza Ndg.Uhuru Kenyatta kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Kenya kwa kipindi kingine. Nakutakia mafanikio mema.— Dr John Magufuli (@MagufuliJP) August 12, 2017
Congratulations my brother @UKenyatta for a successful election and the trust Kenyans have placed in you!— Paul Kagame (@PaulKagame) August 11, 2017
President Kenyatta wins election for second term, pledges to serve all Kenyans equally https://t.co/ZvAsBkcfcG pic.twitter.com/Pzwtny6M0M— Uhuru Kenyatta (@UKenyatta) August 11, 2017
I congratulate @UKenyatta upon his re-election as President of the Republic of Kenya. pic.twitter.com/HpXqvUmNKb— Yoweri K Museveni (@KagutaMuseveni) August 11, 2017
Congratulations to my brother @UKenyatta on your re-election, Kenyans have spoken that they have confidence in your leadership— Edward Lowassa (@edwardlowassatz) August 11, 2017
1/2
Post a Comment