Prof. Mkumbo Ammwagia Sifa Raila Odinga, Adai ni baba wa Demokrasia Afrika
Amesema
kuwa kipindi ambacho kina Odinga wanapambana kupigania mageuzi wakati
wa muhula wa pili wa utawala wa Rais Daniel Arap Moi, Uhuru Kenyatta
yeye alikuwa kivulini
Prof.
Mkumba amesema kuwa Raila Odinga ni mwanasiasa aliyekomaa kidemokrasia
hivyo anafaa kuitwa baba wa demokrasia barani Afrika huku akiwataka
wanasiasa kuiga mfano huo.
“Ahsante
sana Raila Odinga kwa hakika maamuzi uliyofanya kwenda mahakamani
kutafuta haki ni maamuzi sahihi, wewe ni baba wa Demokrasia katika
ukanda huu,”amesema Prof. Mkumba.
"Huyu Kenyatta ni beneficiary. Wakati akina RAO wakipambana na akina Moi yeye alikuwa kivulini. Tuwe wa kweli" amesisitiza Kitila Mkumbo
"Huyu Kenyatta ni beneficiary. Wakati akina RAO wakipambana na akina Moi yeye alikuwa kivulini. Tuwe wa kweli" amesisitiza Kitila Mkumbo
Uchaguzi
mkuu nchini Kenya umefanyika hivi karibuni ambapo mgombea kutoka chama
tawala cha Jubilee, Uhuru Kenyatta aliibuka mshindi na kumbwaga Raila
Odinga
==>Chek apo chini
==>Chek apo chini
Post a Comment