Mtoto wa Hamisa Mobeto Apatiwa Jina, Lipo Hapa
MWANAMITINDO maarufu ambaye pia ni muuza nyago kunako video za wasanii Bongo, Hamisa Mobeto, ametoa jina kwa mtoto wake na kumuita Abdulnaseeb 'Tanzania Boy'. Mtoto huyo anadaiwa na wapenda ubuyu kuwa ni wa staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz'
Post a Comment